S Sulley0044 New Member Joined May 7, 2017 Posts 2 Reaction score 0 Dec 11, 2017 #1 Wadau mm naomba kuuliza hivi haya mashindano ya cecafa kwann tusitumie tanganyika na zanzibar kwa maana Tanzania ni nchi ya muungano au wenzetu tanganyika hawana nchi
Wadau mm naomba kuuliza hivi haya mashindano ya cecafa kwann tusitumie tanganyika na zanzibar kwa maana Tanzania ni nchi ya muungano au wenzetu tanganyika hawana nchi