CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
Pamekuwa na upotoshaji mitandaoni kutokana taarifa zinazoenea juu ya usafirishaji wa Nyama ya mbuzi kutoka mwanza kwenda Dubai kwa ajili ya matumizi ya chakula kwa kutumia ndege ya shirika la ATCL ya Dreamliner . Swali ni je Tunapotosha taaarifa ili kujifurahisha au tunapata crediti gani!!???
Kiuhalisia ni kwamba ndage hii haitafika Dubai ila nyama ndio inakwenda Dubai!! Kinachofanyika ni usafirishaji wa kutoka Mwanza mpaka Dar huku ndege ikiwa na mizigo mingine pamoja ana hiyo nyama ya mbuzi na abiria kama kawaida. Ikifika Dar es salaam Air port mzigo wa nyama ya mbuzi utapandishwa na ndege zinazoelekea Dubai kama ilivyokawaida kwenye usafiri wa ndege katika kubadirisha ndege siku hiyo hiyo na kuelekea kulikokusudiwa (Dubai)!!! Sasa tusipotoshe sana jamani
.