Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Jambo hili nimeanza kuliona mwisho wa mwezi huu kwa kiasi kikubwa kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali na kwenye biashara yangu pia tayari zaidi ya 50% bidhaa nazojumua siku zote kwa sasa bei ni kubwa mno faida kiduchu mauzo nayo yamepungua Sana.