Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Nimeonaaa majuzi tbs wanaaswa kuhusu ongezeko la vijana kunywa pombe kupitiliza na kufa gafla. Shidaa sioo kunywa vijana wananyweshwa gongo virobaa kilichobadilika n package tu.
Hii kitu niliwahi kuilaan haoaapa lile zoezi la kupiga marufuku viroba mchangawamacho unakuja. Imagine kina kampuni inauza pombe kali kwenye vidubwasha vya plastic hawajakaa mwaka wakakutana na watu zilee pombe wanachanganya na gongo.
Wataacha kufa gaflaaa? Ukisharuhusu hizi pombeee tu kubalini matokeooo kaulize Kenya La maana mwisho tuseme Mungu ndie mwamuzi wa yote.
Moshii walikamataaaa godown na nyumba kubwa ndani ina chupa za konyagi miaka kadhaa na sticker za TRA
Walee mnafikiri wanaweka konyagi sawa inavyotengenezwa pale.. Mwishooo anzia njia panda' vijana wadogo wa miaka 20 wako kama wazee wa 50yrs
Nenda maranguuu mamba kotelaa nendaaa mwika vijana wanaongea wenyewe kama wako mwezini tunaishia kulaan oooh ndugu anawaloga wapi..
Haya maviwanda feki yanajulikana na yakikamatwa mnatuonyesha kwa TV nxty amtuambiii kilichoendelea
Tusilalamike tukubali matokeoo
Edit at ur own test