Wana JF
Tunakodisha eneo la biashara lina ukubwa wa heka 2 na Zaidi. Eneo liko mita 500 kutoka barabara ya Bagamoyo. Linafikika kwa barabara ya uhakika. Eneo liko tupu lakini limepimwa na lina hati. Linafaa kwa yard ya kupaki magari, kama sehemu ya kuhifadhia makontena au godauni. Madalali msiwe na wasi ulaji upo wa nguvu. Mwenye nia ni PM kwa maongezi Zaidi.
Shukurani