Tunakoelekea, Chadema na John Heche watalaumiwa kukausha vyanzo vya maji na kuleta ukame nchini

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Hellow!

Ndugu John Heche na Chadema kwa ujumla, huu ni muda wa kukaa kimya kusubiri matokeo.

Kama ushauri mlishatoa wa kutosha na hamkusikilizwa, hivi sasa muda wa kuonyesha mapungufu na udhaifu wa Serikali batili umepita.

Ushauri: Mkiendelea kuwashauri, watawatuhumu kuleta tatizo la maji nchini kwa kukausha vyanzo vya maji nchini.

Ni hayo tu.
 
Hahah! Kila likitokea jambo wao kilakitu ni chadema na lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…