FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Nimesikia habari RFA kwenye matukio asubuhi binti amuua mwanae kwa kumnyonga kisa aweze kuolewa
Mwanaume kamwambia hawezi kumuoa akiwa na mtoto ambaye hakuzaa nae
dawa ni kukatisha maisha
Hii imetokea Mkoani Ruvuma ..
Hivi unaweza kumnyonga mwanao kisa uolewe??
Jamani hivi tunaelekea wapi?
Kweli wanaume mnaweza kuwa na roho ngumu namna hii,,????
Akina dada Mama kweli unaweza kufanya maamuzi mazito kama haya:A S cry:
God forbid
......Inashangaza **** Inasikitisha &&&&&&&&& Na kutisha pia....
![ahc_content_236512[1].jpg ahc_content_236512[1].jpg](https://xf23.jamii.app/data/attachments/3142/3142978-74039c9966b9be057dd6f2cfe7b949b3.jpg?hash=dAOcmWa5vg)