FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
mwanaume ndiye aliyetoa amri mtoto auawe?
mwanaume ndiye aliyetoa amri mtoto auawe?
Halafu ukute alimdanganya tu, kumbe ana mchumba ake huko Sengerema!mwanaume ndiye aliyetoa amri mtoto auawe?
That is not surprising for a woman. Hakuna mwanadamu mwenye roho mbaya na asiye na chembe ya huruma kama mwanamke, kama akiamua kuwa mad au akiamua kutoshirikisha ubongo wake vema.Tunaelekea wapi tena
Mtoto niliyebeba mimba miezi tisa leo aje mtu tu kunambia nimue ndo anioe
Labda nianze na yeye
Mungu atusaidie