Tunakoelekea sasa kunatisha...Ndoa za kulazimisha hizi mmh!

Mi nadhani wanaume tunatakiwa kuwa straight, kama huna future na mwanamke... shart gani hilo ambalo halitekelezeki .... mtoto kesha zaliwa. mwambie wazi huoi una mwingine... ila na nyie wanawake muwemnasoma alama za nyakati aaaagh!!
 
Mi nadhani wanaume tunatakiwa kuwa straight, kama huna future na mwanamke... shart gani hilo ambalo halitekelezeki .... mtoto kesha zaliwa. mwambie wazi huoi una mwingine... ila na nyie wanawake muwemnasoma alama za nyakati aaaagh!!

Ni kweli Elia zama hizi sio kupeana mikakati ya ajabu ajabu ...ni bora mpeane ukweli kila mmoja achukue njia zake
 
Last edited by a moderator:
Yummy zaa bwana kwani tatizo nini?
ama baba mtoto hajapatikana ?
FirstLady1 wababa wenyewe ndio hawa wa masharti ya kuua waliokua tayari wamezaliwa......akuuuuu acha nibaki na watatu wananitosha,kuliko kukosa wote kwa tamaaa mweeeh
 
Last edited by a moderator:
mmh labda huyo dada ni mgonjwa wa akili.
Yaani ndoa iwe na thamani kuliko mtoto!!
Mwanamke mwenye afya nzuri ya akili sidhani kama anaweza kufanya hivi.
 
FirstLady1,

Mie siwezi kushangaa kwa sababu najua pasi na shaka kwamba binadamu yeyote ana sura mbili...kwanza ni ile ya kibinadamu...huyu hawezi kufanya jambo kama hili.

Ila akiwa kwenye sura nyingine ambayo ni kama mnyama mwingine yeyote (nyoka, mjusi, kenge, chatu, mamba, simba, fisi, mbwa, nguruwe, kuku etc), basi anaweza kufanya hata makubwa zaidi ya haya!!

Babu DC!!
 
Kwani lazima uolewe? Tatizo kubwa la mabinti wa leo nikuwaza ndoa, yaani mwanaume akitamka ndoa akili zao zinahama hawawazi mbele lolote kwao linakuwa sawa.
Mungu atunusuru kizazi hiki maana ukitaka kumpata binti kirahisi tangaza ndoa.
Namuonea huruma kweli binti huyo pengine mwanaume alitafuta njia rahisi yakumpata ilikukidhi mihemuko yake sasa ili ajivue gamba akachukulia kigezo cha mtoto binti naye bila kufikiri akaona akitoe uhai kiumbe chake. Inasikitisha sana
UKIPENDA UA........ PENDA NA BOGA LAKE KAKA mtoto ni mtoto tu! kwani hata atakaye zaliwa ndani ya ndoa unaweza chakachuliwa nauka lea tu!
 
Kama ningekuwa kwenye nafasi nzuri, ningeomba kumfanyia research huyu mama. Ningeomba nikae naye walau mwezi mmoja tu!


Baada ya hapo, naamni ningeweza kumwomba jaji ama amwachie huru au ampe minimu sentence kama vile kifungo cha nje!

Kwani kuna mwanamke duniani (tena zaidi huku kwetu umatumbini) ambaye hapendi kuvaa zile pete kwenye kidole chake??

Babu DC!!
 
Dark City, na hii sijui addiction au ukichaa wa kuvaa pete kidoleni ni matokeo ya jamii inayotulea.
Ndio tunachoaminishwa tangu utotoni.

Kuna baadhi inawabidi hata kulala kwa waganga ili wavae pete hizo(desperate measure).
Hata mie natamani kujua details zaidi za huyu mwanamke.
 
Last edited by a moderator:

Kama unavyojua, sie binadamu ni wepesi sana wa kulaumu na kulaani...Huwa hatujitahidi kuwa majaji wazuri tunaweza kuutendea haki kila upande!

Kwa kweli natamani sana kuistudy kwa undani hii kesi!

Babu Dc!!
 

Hapa roho ngumu ya wanaume iko wapi kwa yule aliyeua, ama kwa maneno yake ya kusema ameambiwa hawezi kuolewa akiwa na mtoto? Je wale wanaotupwa vyooni na njiani mwenye roho ngumu nani? Mungu amsamehe huyo nawe pia
 
hata kama huyo mwanaume alikuwa na nia ya kumuoa, kwa gia ya kunyonga mtoto ataingia mtini........ nani anataka kuishi na muuaji?
 

Hiyo ni kazi ya shetani, katika hali ya kawaida haiwezekani. Watu tunatafuta watoto wengine wananyonga? TUmwachie Mungu afanye kazi yake sisi ni watu tu.
 
khaaaa, wa namna hii hata wakiolewa Mungu hampi hata mtoto mmoja, kuolewa kitu gani jamani mbele ya mtoto wako
 
Sasa kama unakubali kuwa maamuzi ya wanawake yanaweza kuwa so easily influenced, Je itakuwa ni makosa tukisema kuwa ni hatari sana kumpa mwanamke nchi, maana kwa mukhtadha wako hapo juu ni kuwa mkishafanya hivyo, maana yake kitakachotokea kitategemea zaidi aina ya ushawishi ataopata huyo mwanamke na sio utashi wake binafsi. Just thinking aloud.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…