Tunakoelekea sasa kunatisha...Ndoa za kulazimisha hizi mmh!

nijibuni jamani hivi kuna nini soo special kwenye kuolewa?

Sana sana security! Huenda huyo binti hakuwa na maisha kabisa na huyo mwanaume kamuahidi maisha mazuri atakapomuoa...things like that. Kwa hiyo ule uhakika wa kula, kuvaa na mahal pa kuishi, huenda ndivyo vilivyochanganya bibie. Kwa kujibu swali lako kuolewa ni uhakika wa maisha kwa ujumla. Japokuwa wakati mwiningine uhakika huo unakuwa wa muda, jambo ambalo msichana huyo hakulifikiria.
 

wanawake wamezidi jamani sasa kama hapo ameweza kumnyonga mwanaye ambaye alimbeba
miezi tisa tumboni ije kuwa ww umejichanganya atakuacha kweli ?
Hapo kumbuka kwamba ameambiwa tu kwamba ataolewa hakuna uhakika na kam huyo
mwanaume atamuoa hana bahati siku atawekewa hata sumu afe hasa pale atakapomkosea huyo
dada halafu dada aone kwamba ni kwanini alimuua mwanae kwa ajili ya mtu wa aina hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…