Riba ni asilimia 20% kwa yeyote anaehitaji zaidi ya milioni 2 anaweza kupata, tunapatikana mtaa wa jamhuri kwa mawasiliano tumia namba zetu hapo juu.
alilimia 20 kwa wiki,ama mwezi ama mwaka au miaka mingapi? be specific plsRiba ni asilimia 20% kwa yeyote anaehitaji zaidi ya milioni 2 anaweza kupata, tunapatikana mtaa wa jamhuri kwa mawasiliano tumia namba zetu hapo juu.
Mkuu inabidi twende kisomi na sio ubabaishaji tunashida na Pesa lakini si kihivyo, Rejea kichwa cha habari ulichoandika nakisha dadavua[elezea]vizuri na kwa kina kuhusu hiyo mikopo yako, Mtu anatakiwa awe na nn,sifa ama vigezo gani na liba yako ni asilimia ngapi sio kutuwekea namba eti tukutafte bila maelezo, Ningekuwa na uwezo ningefuta hicho kichwa cha habari ulichopost hakina maana wala hakieleweki zaidi ya kuturusha stym na kututia tamaa za kijinga, Ushauri wa bure: Jipange unataka kupost kitu chochote humu Jf jua kwamba kuna watu tofauti tofauti, Wengine ZAIDI umri wako na Wazazi wako, Pia pendelea kupata ushauri kwa jambo lolote kabla hujafanya kitu chochote itakusaidia sanaaa..., Ni hayo tuuuu...Tunakopesha pesa kuanzia 50,000 mpaka milioni 2. masharti lazima uwe na dhamana. ili kuweza kujua tunapatikana wapi na dhamana gani tunazochukua wasiliana nasi kwa namba 0716 632593 / 0718 585858 na 0782 383838
Riba ni asilimia 20% kwa yeyote anaehitaji zaidi ya milioni 2 anaweza kupata, tunapatikana mtaa wa jamhuri kwa mawasiliano tumia namba zetu hapo juu.