Riba? Gharama za kuprocess mkopo? Muda wa kurudisha? Mmesajiliwa? Mikopo mingi siku hizi ina bima kuepuka kufilisi mali za mkopaji, mbona ninyi mnakimbilia kufilisi?
Zaidi sheria za nchi zinasemaje kuhusu kufilisi mali ya mtu aliyeshindwa kulipa deni?
*nimetoa tu angalizo*
riba? Gharama za kuprocess mkopo? Muda wa kurudisha? Mmesajiliwa? Mikopo mingi siku hizi ina bima kuepuka kufilisi mali za mkopaji, mbona ninyi mnakimbilia kufilisi?
Zaidi sheria za nchi zinasemaje kuhusu kufilisi mali ya mtu aliyeshindwa kulipa deni?
*nimetoa tu angalizo*
Yaani nikikopa 1m mnanitaifisha mali zangu wakati nazinunua mlikuwepo na mlijua nimenunua bei gani?
Aiseee kajipangeni upya mje sio mnakurupuka kuandika thread ambazo hatuwaeelewi elewi hapa