Tunakosea tunapoacha kuwashirikisha watoto wetu mafanikio yetu mapema

Oooh maisha magumu wakati wao ndo waamuzi wa maisha yao sio tena kulaumu mtu wowote..
 
Una Akili kubwa sana Mkuu....

Wazazi wetu nakumbuka walikuwa wanatuambia someni mtafute vya kwenu....

Hawajui kuwa kuna muda utafika watachoka watahitaji nguvu za vijana kuendeleza mali husika hapo ndio itakuwa too late maana watoto hawana elimu yoyote ya biashara mwisho wa siku ni mwendo wa breakdown.....

Mimi nawakubali sana wahindi watoto wanafundishwa biashara ingali wapo wadogo ndio maana hawafilisiki hovyohovyo kama ngozi nyeusi.....
 
Naelewa sana hichi ulichokiongea leo, na wahanga wakubwa huwa ni watoto coz kwa upande wa mke huwa kuna mixed feelings zikiwemo za upweke plus uhuru
Hapo ndipo sasa familia nyingi mno zinapopata shida

Nina mifano mingi mno nilioshuhudia haya uliyoyaongea
But leo familia zipo zero kabisa ilihali baba aliacha mamilioni ya pesa
Ndiyo maana zinabaki tu stories kuwa baba yao au babu yao hawa alikuwa ni mtafutaji na tajiri mno
Wakati hayo yanasemwa hao wanaongelewa ni maskini wa kutupwa

Huwa nawafikiria juu ya watu kama FORD, DELL n.k naamini walishatangulia mbele za haki ila hadi leo biashara zao zimesimama hadi kesho coz ya misingi imara waliyoiachia pamoja na familia zao

Leo tajiri wa kikwetu hapa akifa tu basi na utajiri wake anaondoka nao alafu tunaanza ule utajiri ulikuwa wa Freemasons mara utajiri wa kishetani
To me there is NO such a thing (freemasons, n.k)

Tubadilike let's share na familia zetu the way we earn our daily breads, tuwafundishe watoto pia
Mwisho wa siku hata ukiondoka leo au kesho kwenda mbinguni basi
Familia itaendelea tu kusimama na kusimamia vyema biashara coz wanajua A to Z

Hizi stories za baba alikuwa tajiri au babu zitaisha
Hongera sana kwa hili somo SKY
Nimelipenda sana!
 
Hata Kama ni biashara yako inayohusu taaluma Kama engineering, Doctor surgery au Law firm. Washirikishe kazi Kama kulipa bills, kufanya filing na photocopy. Warmtajenga dhana ya umiliki na uchungu wa mali. Huwezi jua wengine wanaweza kuamua kufuata field yako na kuendeleza biashara baadae.
 
sawa sky
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…