Tunakubaliana Malengo ni Kucheza nusu fainali, sio Robo

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
KUMRADHI:
(MALENGO NI KUCHEZA FAINALI) - Admin aturekebishie kwenye Heading.

Tuko katika maandalizi ya kupambana kuwania taji la CAF.

KWENYE ligi sizungumzii sana kwasababu Bingwa anajulika.

Kuanzia sasa kwenye mashindano ya CAF iwe CAFCL au kwa walle wakina Azam CAFCC, target na malengo tunataka yake kucheza fainali tu.

Tofauti na malengo hayo ni kufeli.

Tunataka kutumia standard walliyoweka Yanga SC kama kipimo cha mafanikio. Upuuzi wa kujiwekea kipimo kidogo ili kwa sababu ya uvivu hatutaki. Ni lazima kipimo cha chini kabisa cha mafanikio kiwe medali.

Sote tukacheze mpira, tuache kutumia ULOZI. Ulozi unaaibisha Taifa letu.

Malengo ni KOMBE, likikosekana ni MEDALI.
 
Yanga wenyewe na raisi wao wanasema malengo ni kufika makundi klabu bingwa
 
Bahati mbaya safari hii hakuna cha kujilegeza et upelekwe kombe la loosers ukacheze na vibonde Malumo. Mwisho wa utopolo CAFCL huwa ni hatua za awali anarudi Kucheza shirikisho . Safari hii haipo hiyo . "Mtakoma"

Nasemajeeeee !!!!! Utopolo mtacheza mechi mbili tu za CAFCL na mtatolewa na kurudi kuja kucheza na Mashujaa fc. CAFCL hakuna vibonde kama malumo .Hilo mkae mkilijua
 
Kumbe walijilegeza kama nyie mlivyo jilegeza kwa Juaneng Galaxy
 
Inawezekana ikajirudia safari yenu ile kipindi kile ,mlivyokula tatu na Makirikiri taifa,mmaangukia shirikisho. Kama kawaida mkaishia robo ,huku militia aibu taifa kwa kuota moto katikati ya uwanja na kuchoma pichi ya watu, ambayo matengenezo iliwacost kama dola 100k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…