Sikia kilio chetu sisi vijana wako wasikivu,japokuwa jeshi amri ni moja..lakini hata AZ WEAH AWAMU YA TATU,ITUMIKE PLZ!..sisi vijana wa 1st year 2013/14 ..SAUT,SUA,UD,UDOM,MIST,MAKUMIRA,BUGANGO,MUHIMBILI,CBE,MUCCOBS,IFM,DIT,KCMC,KIU,IMTU,HURBERT KAIRUKI,NIT BILA KUSAHAU ST.JOSEPH KIMBILIO LETU DIV.3 ZA MWSHO!.."updated-boy"
nakuunga mkono hata matokeo ya form four yalifutwa kwa shinikizo la TUME hivyo form six TUSHINIKIZE jkt intake 3&4 isitishwe ni hayo tu.!
nB
hata BOOM lilipanda kwa shinikizo & maandamano + mgomo
kumbukeni mnashindikiza jeshi...
~they always believe mambo yao ni sawasawa~ NO MISTAKES !!
Jeshi sio kama siasa za fitina, wakiamu lazima wasimamie maamuzi yao. Si kwa shinikizo wala maandamano ndiyo vitawabadilisha bali kwa kufikisha barua ya ombi hilo mezani.
Mama yangu!!!...... Vijana kama ndio mambo mnataka hayo mtaumia hapo hamna siasa wala mjadala wala shinikizo. Jeshn amri n moja ingekuwa mnavyotaka nyinyi mngelikuta jeshi kuna wagombea au linamaandamano. Amri ni moja kifuatacho ni utekelezaji tu!........... Achen umayai huo wakulia lia jeshi ni kufungua moyo
Acheni uvivu hebu nendeni jeshini. Lisitishwe kwa nini sasa?
Mikanganyiko ya taaasisi za serikali bw. Hawajawai kukaaa meza moja nn? Kwanza sioni umuhimu wa tcu.
Mama yangu!!!...... Vijana kama ndio mambo mnataka hayo mtaumia hapo hamna siasa wala mjadala wala shinikizo. Jeshn amri n moja ingekuwa mnavyotaka nyinyi mngelikuta jeshi kuna wagombea au linamaandamano. Amri ni moja kifuatacho ni utekelezaji tu!........... Achen umayai huo wakulia lia jeshi ni kufungua moyo
no one is afraid of going to jkt..... Shida ni utaratibu wanaoutumia unatuchanganya