Tunakumbushana: Kwa makadirio, ni asilimia 18 tu ya watu Duniani wenye magari!

Tunakumbushana: Kwa makadirio, ni asilimia 18 tu ya watu Duniani wenye magari!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Hadi June 2024, approximately Duniani kuna magari 1.5 Billions, na Population ya watu ni 8.1 Billions.

Kama atleast ulipata D mbili, simple math itatuambia ni asilimia 18 tu ndio wanamiliki gari moja moja. Au kwa lugha nyingine, gari moja kina uwiano wa watu 5,500 hivi.

Kwa Tanzania idadi ya magari live data ngumu kupata, ila kuna data ya kitambo ilisema KE wanatuzidi idadi mara 4 hivi.
Kenya has 4 times the number of cars in Tanzania.

Niwatakie week njema.
 
Back
Top Bottom