BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kukopa sherehe kulipa matanga. Ukiwa katika harakati za kukopa ni vizuri ukafikiri kwa makini(think twice) kuna maswali ya kujiuliza kabla ya kukopa
-reasons za kukopa
-riba
-muda wa marejesho
-dhamana
Maana mkopo ni kwa ajili ya kuimprove maisha yako so haimake sense unakopa baada ya kuendelea mbele unarudi nyuma kiuchumi. Trust me katika kitu cha msingi unachohitaji kwenye maisha ni kubalance mapato yako na matumizi kushindwa kufanya hivyo ni kushindwa kusimama kiuchumi.