Tunakumbushana tu, mwaka wa ku-force umefikia nusu

Tunakumbushana tu, mwaka wa ku-force umefikia nusu

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Sote tumekubaliana huu mwaka ni wa kufosi, Leo ni tarehe 1/06/2024, maana yake tumeimaliza nusu ya kwanza, tunaanza nusu ya pili. Je, mpaka Sasa ume force kiasi gani? au bado unasubili mchongo flani utiki?
 
Actually na wait mchongo fulani hivi utiki nikaze mwendo kuforce
 
Hadi mwezi wa sita uishe ndipo tutakuwa tumemaliza nusu mwaka, rynaw bado. Acha kututisha broh.
 
Sijatimiza lengo hata moja. Lakini nina imani kabla ya mwezi wa 12 nitakuwa nimenunua gari
 
Back
Top Bottom