Enyieee watoto wa baba jesca,mshahara utakao toka week inayokuja ndio,utakao fanikisha sherehe za Christmas,boxing day,mwaka mpya,kulipia watoto ada,Kodi ya nyumba,kushafirisha mama na baba waliyokuja kula sikukuu.....jamani tuweni makini.maana January is a branch of monthly deals with headache and panic..