Tunakushukuru Wambura, lakini upelelezi/uchunguzi urudiwe

Gwajima ametimiza wajibu wake, baadhi ya watuhumiwa wanne wamepandishwa mahakani leo, sasa ni kazi ya Jaji kutenda haki.
Hili tumekwisha kubaliana, na sifa zetu ni kwa Gwajima. Na huyo mwingine je, sijui Gwekul sijui na nani..., hilo ndilo nililo kuitia mkuu 'PhD'.
 
Hii kesi ilikua haitakiwi kuchukua hata wiki kabla haijapelekwa mahakamani na kuchelewa kwake inaonekana kabisa ni kwa sababu ya kuona ni namna gani wanamuokoa afande na mkono wa Sheria na ndipo wanapo thibitisha kwamba Tanzania Sheria iko kwa ajili ya maskini na wasiokua na nafasi tuu
 
Gwajima alifanya nini kuhusu hili sakata?
TAARIFA FUPI kutoka kwa Dorothy Gwajima,MB-Waziri

Ndugu Wananchi, nimepokea 'Tags' nyingi za maoni na maswali kuhusu taarifa iliyotolewa na RPC mkoa wa Dodoma juu ya mwenendo wa shauri la 'Binti wa Yombo' (rejea taarifa za awali).

Ndugu Wananchi, nimepokea hisia zenu, maoni na maswali yenu ambayo mmeelekeza kwangu. Nimewasiliana na Mhe Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye tayari naye amepokea na anafanyia kazi hivyo, tumpe nafasi atatoa taarifa yake.

Ndugu Wananchi, ni dhahiri kuwa, alichofanyiwa 'Binti wa Yombo' ni kitu kibaya kisicho cha utu hivyo, anastahili haki yake kwa mapana yote.

Ndugu Wananchi, Nawasihi tujipe muda na kuamini kuwa, haki itatendeka kwa mujibu wa sheria na itaonekana bayana na siyo vinginevyo.
 
Acha unafiki, wewe katika uwakili wako mbona unawatetea wahalifu ambao unajua fika wametenda jinai lakini unapambana kuitoa mahakama katika reli ili Wateja wako washinde kesi?

Hata leo hii hao unaowaita wabakaji wakikuajiri uwatetee utadai mahakamani kuwa wateja wako hawana hatia.

Eti unasema hatukubali hamkubali na nani? Lini watu walikuteua uwawakilishe?
 
Machizi nchi hii mmekuwa wengi mno nyakati hizi. Kuna umuhimu wa kuutafutia chanjo pia.
Hovyo kabisa.
Tatizo umeathirika ubongo kwa chanjo feki huwezi kunielewa.
Kwa sasa wewe ni km kuku mwenye mdondo
 
Umengea yote kaka,nani aliwatuma? Huyo Ndo mtuhumiwa muhimu sana,huyo lazima apatikane ili liwe funzo na tayari hao wamepatikana lazima nae apatikane,wajiweke wazi haki itendeke
 
Harafu wamepunguza makosa Kwa Ajili gani? Lazima Wapewe kifungo stahiki Ili kukomesha haya matukio yanayozidi kuongeza
 
Sahihi ,imekuwaje hawajagonga hao wataje huyo afande na au kufatilia kwamtandao
 
Tatizo umeathirika ubongo kwa chanjo feki huwezi kunielewa.
Kwa sasa wewe ni km kuku mwenye mdondo
Alaa, kumbe siyo uchizi bali ni hizi bangi za uzeeni ndizo zime kuathiri akili? Chanjo ya hali hiyo itakuwa ni kupoteza wakati na mali. Wewe ni kuachwa tu uhangaike nazo mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…