Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,939 Reaction score 10,403 Aug 20, 2024 #41 Dr Matola PhD said: View attachment 3074169 Click to expand... Daktari, anaitwa nani huyu? Mbona kama yupo group moja na Theo?
Dr Matola PhD said: View attachment 3074169 Click to expand... Daktari, anaitwa nani huyu? Mbona kama yupo group moja na Theo?
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 11,461 Reaction score 17,183 Aug 20, 2024 #42 Dr Matola PhD said: Mimi simlaumu, wakati wa utawala dhalimu wa Kayafa ilikuwa lazima ukiwa serikalini uwe punguwani. Hata nje ya Serikali kidume alikuwa Lisu peke yake na akamuita Dikteta uchwara majibu yake ndio kummiminia lisasi zisizo na idadi. Click to expand... Ushasahau kuwa sugu kachezea kipindi juzi?
Dr Matola PhD said: Mimi simlaumu, wakati wa utawala dhalimu wa Kayafa ilikuwa lazima ukiwa serikalini uwe punguwani. Hata nje ya Serikali kidume alikuwa Lisu peke yake na akamuita Dikteta uchwara majibu yake ndio kummiminia lisasi zisizo na idadi. Click to expand... Ushasahau kuwa sugu kachezea kipindi juzi?
mambio JF-Expert Member Joined Mar 4, 2017 Posts 2,668 Reaction score 3,428 Aug 20, 2024 #43 Moisemusajiografii said: Hakuondoka na genge lake la wahuni.Waliobaki ndiyo hao wanateka na kulawiti.Laana kum! Click to expand... Nyie ni wanafiki msio na haya, Kikwete hamkumuita dikteta ila wakina mwangosi waliuwawa na kina Ulimboka kutolewa meno. Mmeathirika na chanjo za mdondo
Moisemusajiografii said: Hakuondoka na genge lake la wahuni.Waliobaki ndiyo hao wanateka na kulawiti.Laana kum! Click to expand... Nyie ni wanafiki msio na haya, Kikwete hamkumuita dikteta ila wakina mwangosi waliuwawa na kina Ulimboka kutolewa meno. Mmeathirika na chanjo za mdondo
mambio JF-Expert Member Joined Mar 4, 2017 Posts 2,668 Reaction score 3,428 Aug 20, 2024 #44 much know said: Ushasahau kuwa sugu kachezea kipindi juzi? Click to expand... Hawa watu ni wanafiki na wana mtindio wa ubongo. Ujinga zaidi wanataka na watu wengine wafikiri km wao
much know said: Ushasahau kuwa sugu kachezea kipindi juzi? Click to expand... Hawa watu ni wanafiki na wana mtindio wa ubongo. Ujinga zaidi wanataka na watu wengine wafikiri km wao
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Aug 20, 2024 #45 mambio said: Kaniachia demu wangu ambaye ni mama ako mzazi. Jua tu kwamba unaongea na baba yako Click to expand... Hapo unaonesha utoto.Kwa umri wangu sijiungi na ujinga wako.
mambio said: Kaniachia demu wangu ambaye ni mama ako mzazi. Jua tu kwamba unaongea na baba yako Click to expand... Hapo unaonesha utoto.Kwa umri wangu sijiungi na ujinga wako.