Hudumapoa.blogspot
Member
- Apr 3, 2013
- 73
- 11
[h=2]Wengi wanapenda kutangaza biashara zao, matukio yao ya kijamii, jinsi alivyotokelezea siku husika na mengine mengi. Ulimwengu wa digitali huu. Hifadhi kumbukumbu kwa ajili ya vizazi vijavyo, wakitembelea mtandaoni miaka elfu moja ijayo wakute maktaba yako bado ipo hai kwenye search engines.[/h]
Hata kama huna kompyuta wala internet au huna muda wa kublog utaendelea kumiliki blog yako ikiwa inaendeshwa na shirika langu la kujitolea kuisaidia jamii. Mfano wewe ni mchungaji unataka blog kwa ajili ya kanisa lako basi utafunguliwa blog bure na kuendeshewa bure wewe kazi yako ni kutazama na kutuarifu cha kufanya kwenye blog yako ili ikidhi mahitaji yako ya kiroho.
Nakuhakikishia blog hiyo itakupatia kompyuta kama huna kompyuta, itakulipa mshahara mzuri, itakufanya ujulikane na mataifa yote kwa muda mfupi tu. Kumbuka usiweke link yoyote kwa ku-reply post hii bali utume kwa njia ya private message.
Mwisho Huduma hii ni bure kabisa anayehitaji blog anitumie sasa 1. Jina la blog unalopendelea 2. Email yako ya gmail tu. Ndani ya masaa 12 utapewa blog yako bure kupitia email uliyonitumia. (Kumbuka tuma kwa private message tu.)
"Ukiisaidia jamii tegemea kusaidiwa pia siku yeyote mahali popote"