Tunalazimisha "Full house" kwa Mkapa

Tunalazimisha "Full house" kwa Mkapa

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Ni wazi kabisa kuwa Taifa Stars haivutii wengi, hivyo ni mkakati wa kulazimisha uwanja ujae.

Ndiyo maana unaona tiketi zinagawiwa bure bure tu nadhani had saivi zimefika 30,000 hivi za bure+15000 za kununua ni Kama 45,000 hivyo uwanja hutajaa kwenye mechi dhidi ya Uganda.

Hapo TFF na Serikali wafikirie ni nini tatizo?
 
Hii hoja mfu,hata vilabu huwa vinabuma. Btw ticket sio bure kwan zimelipiwa,sema tu ni mbinu ya kuleta mashabiki na mapato yawepo
 
Wazee wa pingapinga kupinga kila kitu sasa huoni ni mission ya kuhamasisha team yetu ya taifa
Kinachokuuma ni nini??
 
Wabongo wengi wanazipenda simba na yanga tu ila hawapendi boli kiviile.
 
Back
Top Bottom