mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Swali kwinini Watanzania wameigomea timu yao?Wewe ni Raia wa nchi gani? Kwa nini unateseka na hamasa ya timu yetu ya Taifa?
Haya ndio madhara ya kutawaliwa na Mrundi ametujazia mamluki kibao Tanzania.
Wewe ni Mrundi, mambo ya Tanzania hayakuhusu.Swali kwinini Watanzania wameigomea timu yao?
Umeniwahi yani nimejikuta nimepata hasira sana!!!yani eti alimaanisha "utajaa"Kajifunze kuandika kwanza, hutajaa ndio Nini?