A
Anonymous
Guest
Mimi ni mwalimu niko Tabora, kwa sasa nafundisha Shule ya IPULI HOLY FAMILY PRE AND PRIMARY MISSION SCHOOL, baada ya ajira za Ualimu kutangazwa za Serikalini niliomba, nikapata nafasi ya kwenda kufanya usaili.
Baada ya kurejea manager wa shule yangu amekuwa akitushinikiza kuandika barua mimi na wenzangu ili kuachishwa kazi shuleni hapo.
Anafanya hivyo kwa Walimu wote ambao majina yao yalionekana katika wasailiwa wa ajira za Ualimu lakini sio, shuleni kwetu tu, hata St. Marry's Mihayo Secondary nao wenzetu huko wanafanyiwa haya na tayari wameachishwa kazii.
Kilio chetu hiki kifike kwa Mamlaka za Elimu Serikalini zitambue tunayipitia Walimu wa baadhi ya hizi shule binafsi, zinatunyanyasa sana.