Tunalea Watoto wadogo wenye umri chini ya miaka miwili (2)

Vaselictor

Member
Joined
Apr 10, 2022
Posts
16
Reaction score
3
Habari mzazi,

Je, umekuwa na majukumu mengi na ukatamani upate mahali sahihi ambapo wanalea watoto wadogo wenye umri chini ya miaka miwili (2)?

Ikiwa unaishi maeneo ya Bunju, Boko, Mabwepande, Mapinga au maeneo yaliyo karibu na Bunju basi unaweza fika kwenye shule yetu inayoitwa Mchamungu Day Care School kilipo kituo cha kulelea watoto. Mahali ni Baharia-Bunju, Dar es Salaam (mtaa wa Umoja)

Shule imesajiliwa kwa namba “1507”, unaweza pia kufika na kuona mazingira yalivyo kujihakikishia, utapiga namba hizo hapo chini.

Kwa maelezo zaidi/mawasiliano:

Piga: 0655892826/ 0754892825
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…