buffaro89
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 592
- 378
ukiwa na internent yenye speed nzuri! tunaweza kufanya yafuatayo kwa gharama nafuu!
- installation za printer na vitu vingine
- naweza kuinstall program ambayo utaitaji
- hata kama utaitaji account packages na programs zinginezo.
- naweza kukuelekeza kufanya vitu mbalimbali kupitia internent.
- ukiwa uko kwako mafinga,mbagala,mbezi beach,marekani,uk nk. utapatiwa huduma kama kawaida,, within a minutes...
- lakini katika yote hayo internent ndio itatuunganisha!