buffaro89 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 592 Reaction score 378 Aug 15, 2016 #1 ukiwa na internent yenye speed nzuri! tunaweza kufanya yafuatayo kwa gharama nafuu! installation za printer na vitu vingine naweza kuinstall program ambayo utaitaji hata kama utaitaji account packages na programs zinginezo. naweza kukuelekeza kufanya vitu mbalimbali kupitia internent. ukiwa uko kwako mafinga,mbagala,mbezi beach,marekani,uk nk. utapatiwa huduma kama kawaida,, within a minutes... lakini katika yote hayo internent ndio itatuunganisha! whatsap yangu ndio hii kwa mawasiliano zaidi 0719909267
ukiwa na internent yenye speed nzuri! tunaweza kufanya yafuatayo kwa gharama nafuu! installation za printer na vitu vingine naweza kuinstall program ambayo utaitaji hata kama utaitaji account packages na programs zinginezo. naweza kukuelekeza kufanya vitu mbalimbali kupitia internent. ukiwa uko kwako mafinga,mbagala,mbezi beach,marekani,uk nk. utapatiwa huduma kama kawaida,, within a minutes... lakini katika yote hayo internent ndio itatuunganisha! whatsap yangu ndio hii kwa mawasiliano zaidi 0719909267
shaks001 JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,246 Reaction score 1,070 Aug 15, 2016 #2 Free au kuna gharama yoyote?
buffaro89 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 592 Reaction score 378 Aug 15, 2016 Thread starter #3 shaks001 said: Free au kuna gharama yoyote? Click to expand... gharama nikidogo sana! kulingana na maitaji yako!
shaks001 said: Free au kuna gharama yoyote? Click to expand... gharama nikidogo sana! kulingana na maitaji yako!
P Papaa Tony Member Joined Aug 21, 2013 Posts 65 Reaction score 48 Aug 17, 2016 #4 Mimi yangu haioneshi maandishi yaani inatoa mwanga tu. Msaada pleasw
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,238 Reaction score 5,106 Aug 17, 2016 #5 Siwezi kuamini ulichokiandika kama heading umekosea hivi. Hiyo internent ndiyo nini hasa..
buffaro89 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 592 Reaction score 378 Aug 17, 2016 Thread starter #6 rushanju said: Siwezi kuamini ulichokiandika kama heading umekosea hivi. Hiyo internent ndiyo nini hasa.. Click to expand... kwani wewe ujawai kukosea kitu tangu uzaliwe? au unataka kiki tuu mjomba!
rushanju said: Siwezi kuamini ulichokiandika kama heading umekosea hivi. Hiyo internent ndiyo nini hasa.. Click to expand... kwani wewe ujawai kukosea kitu tangu uzaliwe? au unataka kiki tuu mjomba!
buffaro89 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 592 Reaction score 378 Aug 17, 2016 Thread starter #7 Papaa Tony said: Mimi yangu haioneshi maandishi yaani inatoa mwanga tu. Msaada pleasw Click to expand... utafanyaje connection sasa! ikiwa mimi nikuone lazima kuwe na connection!!
Papaa Tony said: Mimi yangu haioneshi maandishi yaani inatoa mwanga tu. Msaada pleasw Click to expand... utafanyaje connection sasa! ikiwa mimi nikuone lazima kuwe na connection!!
Suip JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,353 Reaction score 815 Aug 17, 2016 #8 Spika ya upande moja ya Laptop yangu kama vile inatoa sauti inayokwaruza/tetema kama spika iliyochanika kiwambo chake, je unaweza kurekebisha kwa mtandao?
Spika ya upande moja ya Laptop yangu kama vile inatoa sauti inayokwaruza/tetema kama spika iliyochanika kiwambo chake, je unaweza kurekebisha kwa mtandao?