Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Miss sana we sista duuGood idea kwakeli
Mkuu nikiona avatar yako mimi hoi taabani.....mhhh nzur
Kwani wao ndo nani?clouds watazitambua tuzo hizo?
nadhani unawajua?Kwani wao ndo nani?
Yaani, hata kama hawazitambui, haizui tuzo kuendeleanadhani unawajua?
hivi ccm wakianzisha awards zao ukawa watasemaje?
ni kweli by the way price zao zipoje tuzo zina thamani gabi zaidi ya fameYaani, hata kama hawazitambui, haizui tuzo kuendelea
Sijajua, cause mi nimeona tu jana kwa TV wamezinduani kweli by the way price zao zipoje tuzo zina thamani gabi zaidi ya fame
wakitoa wao msanii bora wa mwaka atakua rubyclouds watazitambua tuzo hizo?