Tunalizungumziaje kuibuka kwa Tuzo za EATV-AWARDS-2016

EATV tangia wameingia ktk maswala ya kuandaa matamasha si waamini tena, kwani na wao wameingia ktk tim hiz zetu zisizokuwa na makocha, kwa kumbeba mmoja na kumshusha mwingine mpaka mameneja wake wawili wakalalamika ktk acc zao za insta baada ya tamasha lao kuisha na kama haitoshi hawakupiga nyimbo ya huyo msanii toka mwezi wa nne mwaka jana mpaka mwanzoni mwa januaru baada ya lile tamasha lao ambalo (alikuja wizkid) , lilikuwa linaelekea kudoda, ila huyu msanii akaja kuokoa jahazi. Mimi siwaamini kwani nao washaanza kuwa na vijitabia kama vya cloudsfm, hata hizo tuzo nahisi zinaweza kuwa na chembe chembe za upendeleo, ila sijui labda mfumo wao utakuwa mzuri ngoja tuone.
 
Ni rahisi sana kuiga tuzo. Ila waweze kukifanya kiwe bira zaidi.
 
Eatv na diamond platnumz ni maji na mafuta , kama ni mfuatiliaji mzuri wa eatv
 
Nini kiliwafanya kuwa maji na mafuta??
Mbona yeye pamoja na vifaranga wake huwa wanahudhuria hapo kwaajili ya mahojiano..pia nyimbo zao hupigwa hapo..??
C kwel buana...mbna nymbo zake znapgwa sana tena kama hio kidogo ndo usiseme mida ya mchana....hata e newz pia hua anahojiwa...
 
C kwel buana...mbna nymbo zake znapgwa sana tena kama hio kidogo ndo usiseme mida ya mchana....hata e newz pia hua anahojiwa...
Ndio sababu nikauliza..au ni watu wanataka kutengeneza kitu..

Ingawa naona Kama huyo kijana hajaonesha kujihusisha na hizo tuzo..
 
Ndio sababu nikauliza..au ni watu wanataka kutengeneza kitu..

Ingawa naona Kama huyo kijana hajaonesha kujihusisha na hizo tuzo..
Wanapiga kishingo upande wewe hujui bofu lao lilianzia wapi
 
dai anahusikaje hapo
Kuna watu wameshaanza vijimaneno vya kijinga, ila sidhan kama EATV wana shida na msanii yeyote. Watu tulidhan kwamba hapakuwepo kwa tuzo, so kama wamekuja na hii idea, basi tuwape support badala ya kuanza vijimaneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…