wajinga tu hao.. kili walisusa tuwashukuru vodaKuna watu wameshaanza vijimaneno vya kijinga, ila sidhan kama EATV wana shida na msanii yeyote. Watu tulidhan kwamba hapakuwepo kwa tuzo, so kama wamekuja na hii idea, basi tuwape support badala ya kuanza vijimaneno
Ukiwa na Bifu nao tu hupati Tuzo
Eatv na diamond platnumz ni maji na mafuta , kama ni mfuatiliaji mzuri wa eatv
hua zinapigwa kura na wanaweka mfumo wa kupiga kura kama hua hupigi unategemea nnKwenye top ten yao kila siku namba moja asipokuwa ali kiba basi atakua baraka da prince yaan tangu hko kipindi kinaanzshwa hao wawl ndo wanaongoza,siku hz kaongezeka nedy music.hata tuzo bila shaka watapewa hawa kuliko wengne
Diamond nyimbo zake zote kwenye top 10 hazifiki namba 1 au 2 , yaani asipokuwa kiba basi ni baraka da princeDhibitisha kauli yako.... Acha kukurupuka
hahahahahahahahahawakitoa wao msanii bora wa mwaka atakua ruby
NASH MCmsanii gani ana bifu na EATV?
NDI NDI NDI NI WIMBO MKALI WEWE ACHA POROJOLady Jaydee atapata tuzo ya msanii bora wa kike ... Wakati kina Maua sama na Rubi wamemfunika... Trust me on this.
Mbona clouds walianzishaga tuzo zao zikawa zinaotitwa teentz awards (2010~2012) watu wakavote dk za mwisho basata wakawagomea kuwa kibali madai n kuwa ktma ndo tuzo pekee zinatakiwa kufanyika bongo nashangaa EATV wamepewa go aheadClouds wamekubalije hii itokee kabla yao? Anyway nategemea fitna nyingi kwenye hili, unaweza kuja sikia fulani kabaniwa kisa kapokea tuzo fulani
Zile top ten ni mashabiki ndio wanaochagua na si wao......MUDAWAKOKwenye top ten yao kila siku namba moja asipokuwa ali kiba basi atakua baraka da prince yaan tangu hko kipindi kinaanzshwa hao wawl ndo wanaongoza,siku hz kaongezeka nedy music.hata tuzo bila shaka watapewa hawa kuliko wengne
Endelea kushangaa miaka miwili then kibali mnagomewaMbona clouds walianzishaga tuzo zao zikawa zinaotitwa teentz awards (2010~2012) watu wakavote dk za mwisho basata wakawagomea kuwa kibali madai n kuwa ktma ndo tuzo pekee zinatakiwa kufanyika bongo nashangaa EATV wamepewa go ahead
hahaha..hela kwanza au sio?mshindi anapewa sh ngapi kwanza?
hayahusiani hapa bwana halafu mkuu nakuheshimu sana ujueIli akishinda ukajibebishe au? Maana umesema umekosa wa kukuoa mitala na waliofiwa na wake zao hujawapata.