hahaha! sasa kama watazamaji hawamkubali unatakaje? halafu mbona leo nimeona anapromote e-news? wako poa bhana, hamna shida!Diamond nyimbo zake zote kwenye top 10 hazifiki namba 1 au 2 , yaani asipokuwa kiba basi ni baraka da prince
inawezekana clouds walidandia, na pia uandaaji wao haukuwa wa kitaalam. si unajua kule shule ni ziro!!Mbona clouds walianzishaga tuzo zao zikawa zinaotitwa teentz awards (2010~2012) watu wakavote dk za mwisho basata wakawagomea kuwa kibali madai n kuwa ktma ndo tuzo pekee zinatakiwa kufanyika bongo nashangaa EATV wamepewa go ahead
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Eatv na earadio itabaki kuwa radio na tv inayoangaliwa na kusikilizwa na wote naamin hata izo tuzo zao hakutakua na ulalamishi wa kijinga ila sasa
Efm na clouds zitabaki kuwa radio za mgawanyiko wa fans nchini
mkuu hakuna upendeleo kwa hili ingia fb eatv utaona katika koment 300 wanaotaka nyimbo ya alikiba koment 250Nini kiliwafanya kuwa maji na mafuta??
Mbona yeye pamoja na vifaranga wake huwa wanahudhuria hapo kwaajili ya mahojiano..pia nyimbo zao hupigwa hapo..??
Ndio wanaanza huko mbeleni wanaweza fikia hukoSio mbaya ila wangeongeza category ata kumi na na tano, kama best female hiphop mc sijaona, best collabo sijaona,,,, anyway ndio first time tusilaumu sana
Mi nataka ziwe kama za BETmimi ningependa tuzo ziwe za ubora, ziwe kama zile za Afrimama
Wamechelewa sana .Mchongo wa kijanja kwa sasa ni EATVAWARDS-2016.
Karibia hapo kesho na Eatv Chanel na Eatv Redio na kufuatilia categories zote ambazo zitakuwepo.View attachment 383846
Kuwa karibu na TV yako sasa!!
Kwani hao cloudmedia ni akina nani....competition is stiff xoo they need to be creative and innovative...sasa wao wasije na tuzo wake na kitu kingine tofauti kabsaclouds watazitambua tuzo hizo?
Mchongo wa kijanja kwa sasa ni EATVAWARDS-2016.
Karibia hapo kesho na Eatv Chanel na Eatv Redio na kufuatilia categories zote ambazo zitakuwepo.View attachment 383846
Kuwa karibu na TV yako sasa!!
Washakwambia "usi force tufanane"Mimi sijaelewa ni EATV AWARDS
AU VODACOM AWARDS
Kwa nin award ya itolewe na Eatv alafu idhaminiwe na coca cola na vodacom ?????????
MTV wanatoa awards zao wenyewe hawadhaminiwi na mtu.
EATV
Naona kama hawa wameshindwa hivi.
Hiyo Slogan haihusiani na nilichoongea mimi , hiyo slogan inawahusu wale wenzao walio na tasnia kama yao .Washakwambia "usi force tufanane"
udhamini ndio unafanya tuzo ziboreshwe zaidi maana hapo tunaongelea swala la pesa na pia hiyo ni biashara vodacom na coca cola wanatangaza kupitia hizo tunzo....sidhani kama una hoja za msingi sana .. hebu twambie doubt yako iko wapi?Hiyo Slogan haihusiani na nilichoongea mimi , hiyo slogan inawahusu wale wenzao walio na tasnia kama yao .
Swali langu linawahusu wenyewe kwa nin mpaka leo wanadhaminiwa na watu .
Nautilishia shaka ubora wa Tuzo .
Dhibitisha kauli yako.... Acha kukurupuka
Nini kiliwafanya kuwa maji na mafuta??
Mbona yeye pamoja na vifaranga wake huwa wanahudhuria hapo kwaajili ya mahojiano..pia nyimbo zao hupigwa hapo..??
C kwel buana...mbna nymbo zake znapgwa sana tena kama hio kidogo ndo usiseme mida ya mchana....hata e newz pia hua anahojiwa...
Ndio sababu nikauliza..au ni watu wanataka kutengeneza kitu..
Ingawa naona Kama huyo kijana hajaonesha kujihusisha na hizo tuzo..
jamaa muongo huyo achana nae
Hili jambo lilikuwepo kama mwaka 1 au miwili iliyopita hata wimbo mmoja wa Diamond ulikuwa haupigwi EATV.hawana bifu ww ni mara ngap unamuona diamond friday night live