chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kongole mama Samia, bahari umeipita, mawimbi umeyamudu, January mpaka Disemba, katikati ya bahari ukiongoza taifa, ukipita mbele ya magwiji ya Dunia, ukilinda mipaka na heshima ya nchi.
Nani asiyejua urefu wa mwaka? Tuko salama vijijini kwetu, usalama na ulinzi kede kede, kwani ni juhudi za nani zaidi yako Amiri Jeshi?
January watoto wetu unaenda kuwapa elimu, madarasa tayari, kwani nani kachangishwa?
Asante SSH, Kila la kheri come 2023