SaidiNzutu
New Member
- Jun 23, 2020
- 1
- 0
Uliyekuwa Mbunge wa Monduli tunakupa ONYO, Acha kugombanisha taasisi za serikali na viongozi wa wilaya ya Monduli.
Umekuwa ukipiga simu Takukuru wilayani monduli nakuwalazimisha kwenda kukamata watia nia wenzako kwa kigezo wanafanya kampeni na kutoa rushwa. Lakin hadi leo takukuru wamekuwa wanafika eneo husika bila mafanikio kwani umekuwa ukiwa danganya.
Majuzi tu umewatumia vijana wako ulio waandaa na kuwanunulia simu na kuanza kutuma message kwa viongozi wa kitaifa kuwachongea wale wote wanaotarajiwa kugombea na kuwashtaki kuwa wako eneo flani wakitoa rushwa kwa wajumbe.
Hadi leo hii tunazungumza hapa takukuru wilayani monduli wameshakuchoka na kukudharau. ni hivi majuzi tu umeenda kushtaki kwa mkuu wa wilaya monduli( RC)Kimanta kumuomba aamrishe vijana wa takukuru wilaya kuwakamata wale wote unaodhani ni tishio kwenye ubunge wako.
Isitoshe umekua unakutana na wajumbe usiku kucha kuwahonga na kuwachinjia mbuzi nyumbani kwako. Leo umetoa rushwa kuanzia Engaruka, Selela, MtowAMbu, Esilalei, Mswakini na Makuyuni - 20M kwa siku moja kutoka kwenye zile 125M za Bunge
Tunamshauri Kalanga aache mara moja kampeni chafu zinazo kiuka maadili ya siasa safi za Chama Cha Mapinduzi. Kalanga atambue kwamba uongozi haupatikani kwa pesa bali kwa matendo yanayo akisi maendeleo na utawala bora kwa wananchi wa Monduli..[SUB]I’m[/SUB]