Tunamshauri na kumuonya Msajili wa Vyama vya Siasa aache sarakasi za maneno

Mungu ambariki mtumishi Emmaus
 
Aheri ukose vyote kuliko kukosa akili na hekima. Tafuta hekima ili uonekane kuwa umeufikia angalao ubinadamu wa kawaida.

Kwa haya uloyoandika, ni ngumu sana kufikiria kama ubinadamu wako umekamilika.
Wewe unamuona huyo askofu chawa Ana akili kwa utopolo alio uandika? [emoji23][emoji1787]
 
Huyu msajili ni mpuuzi wa kiwango cha bombadier
 
Reactions: BAK
Huu ujinga wa IGP ZERO kujidai ndio msimamizi wa vyama vya siasa upo hapa Tanzania tu. Kenya hauwezi kusikia ujinga huu. Anayoyapitia Zero ni laana ya Wapemba wewe ngoja tu.
Watanzania ni watu wa hovyo, wanakubali kuburuzwa kama mazuzu, shida sio IGP bali sisi tunakubali watuburuze wanavyojisikia
 
Usimpangie cha kufanya wewe ni nani? Askofu ni Mtanzania ná ana haki ndani ya Katiba ya kukosoa chochote kile ambacho hakubaliani nacho na ndani ya Katiba hakuna kipengele chochote kilichowazuia Viongozi wa dini kutumia haki yao ya Kikatiba kama raia wa Tanzania.
Askofu anzisha chama tafadhali ili unyukane na wahusika vizuri bila kujificha nyuma ya joho.
 
Mimi ni Mkristu kama Emmanuel Bandekile Mwamakulà ila dhehebu langu ni RC. Naomba kujulishwa Kanisa la huyu ASKOFU liko wapi? Na ni wakati gani anatoa huduma
 
Kumbaff. Wewe ni nani kuniambia cha kumwambia au nisimwambie ninachoona kinamfaa? Kwani akianzisha hicho chama atajipigia kura bila sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…