GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Hakabi akipoteza
2. Anajiona Messi tayari
3. Ana Dharau zilizopitiliza za Mpira
4. Mchoyo (Mbinafsi)
5. Anaharibu Mashambulizi ya Tija
6. Amejipa Mamlaka asiyoyaweza
7. Utoto na Upuuzi vimeshamzoea
Klabu iache Kumdekeza na Benchi la la Ufundi limwambie Klabu ( Simba SC ) Kwanza na Umaarufu wake baadae.
Kujua kupiga Chenga sana, Kufunga Magoli na Kuupandia juu Mpira na Kuonyesha Mbwembwe na Mikogo mingi Uwanjani hakutoshi Kuuonyesja Umuhimu na Umahiri wa Mchezaji katika kuiletea Timu Maendeleo.
Ukiona mpaka GENTAMYCINE nimekuja na hili ( na hii Critical and Technical Observation yangu ) juu ya huyu Mchezaji Bernard Morrison jua ( jueni ) ana tatizo au kuna tatizo mahala.
Wewe DJ maarufu wa Kike EFM Radio sasa umehamia Wasafi FM ( sikutaji nakulinda ) tafadhali ukiwa nae huyu Bernard Morrison kule Kwako Mbezi Beach kwa Maua ( unapita Nyumba ya Mbunge ) mnakula 'raha' zenu huku mkipita katika IST yako mkiwa Mmeshika Pombe Kali na mnacheza ndani ya Gari uwe unaturekebishia basi tabia huyu 'Shemela' Wetu tokea nchini Ghana.
Ninampenda mno BM, ila abadilike sasa.