G gwala gwalaMbona sio yeye tu hata G wa sasa sio yule wa ndo zetu
Wanasema huwez kupigana vita yoyote ukiwa na njaaJuzi kati hapa nilikutana na Lord Eyes hapa Picnic... kiukweli hardcore hiphop ni ngumu kuendelea kuifanya kama huna good financial base.
Acha kuropoka usiyojuaAnafanya hiphop biashara
Swagger my athiWanaita 'swaggar'
Kawa mwanaume wa dar sio?[emoji12]Aisee huyo chalii tangu amehamia dar amekua wakisoroooo kama jamaa wa huko tu.
Possibly, upeo wako wa kuelewa utakuwa umeshuka, tena to negative. U need psychiatrist.Mimi ni mmoja wa mashabiki wa msanii Joh makini tangu anatoka akitengenezwa kuja kuchuana na msanii mwenye kipaji kuliko wote bongo (Chid benz).
Mwamba wa kaskazini alitikisa anga la mziki na kila mkwaju alioachia ulikuwa wa Moto ndio maana alipojiita Tz Jay z sikumbishia sana.
Nakumbuka ngoma zake kama Mfalme,Hao,muda,sijutii,Stimu zimelipiwa,Show za Joh,Kilimanjaro n.k, collabo alizopiga akangaa kama utaipenda ya Hussein machozi na nyinginezo.
Huyu Joh makini wa Weusi simuelewi kabisa yaan amepwaya katika uandishi kuliko zaman, hatumuoni kama Hip hop icon wa kaskazini yaani anakoelekea haeleweki kabisa.
Chondechonde tunamhitaj Joh Makini wa Hao, huyu wa madaraka,Nicome ndugu zake njooni mumchukue.
Ashakua mkuda kama wale jamaa wa dar tu.Kawa mwanaume wa dar sio?[emoji12]
Chalaa angu acha kuturushia arifu,si tunataka ngumu ngumu ye analeta eti sijui nataka ku come ni full ungese tu.Joh yupo on fire ni hatari, sema ni vile machalii mmekuwa na kilalulalu. Mwana anatoa good music.
Unajua nini, siyo lazima uvutiwe na mwana, kama we humsomi basi wengine wanamuelewa
HeheheheheAshakua mkuda kama wale jamaa wa dar tu.
Kaimba utumbo mtupuLet me handle ma business mama yo mabusiness
Napamabana juu yako mama niko busy
Nipo na davido hii single
Chakula ya kingkong ngogingo
Naficha mwenyewe kibindo
Baba na towoo mitindooo
Wowooo mama la towowowww
Mauno you know ma umo umo
Kaa umo umo Na kaa umo umo
International numero uno
Nina ugurumo msondo kiburuni michongo
Kigururusi ndondo ukiniruhusu uondo
Niko deeper kinondo
Nikikita kimondo
Sihalalishi magendo
Wooo iyaaa eeh
Kihalali tu ni pendo
Chorus - Davido
Wooo iyaaa eeh
Wooo iyaaa eeh
Wooo iyaaa eeh
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata let
Huyu mangi sio msukumawimbo wa FRESH aliyeimba na Diamond,ameimba vizuri.halafu ni handsome la kisukuma.
Huyu mangi sio msukuma
Na ww unataka ku come?hahahmnataka ngumu nendeni tamaduni mbona wanaachia ngoma kila siku kwan lazma msikilize za kina joh?? [emoji3]