Mkuu,lich mavoko ndiye Rich Mavoko?Aman itamalaki
Mavoko umeshuka sana kimziki haukiki wala hausikiki kabisa nyota yako imefifia na huna tena ngoma kali
Sitaki kuhusisha na kuondoka kwako wasafi na kushuka kwako
No ila tu umeshuka sana
Sisi kama mashabiki tunamtaka rich mavoko wa mwanzo achana na huyu mzugaji mzugaji
Badilika mwanangu bado mashabiki zako tunakupenda japo kwa sasa hatukuelewi
Mayala B
Ni nzuri by the way kaiskilize japo haipo katka viwango vya pacha wngWrite your reply...
kumbe mavoko ana ngoma inaitwa "ngedere"??
sikujua hilo
mkuu nadhani inaitwa ndegere sio ngedere!Ni nzuri by the way kaiskilize japo haipo katka viwango vya pacha wng
Aaaah nimekupata mkuumkuu nadhani inaitwa ndegere sio ngedere!