Tunamuhitaji "Joey Greco" wetu katika kukabiliana na tatizo la "mpango wa kando/nyumba ndogo"

mh sidhani kama kwa kufanya hivi wataacha.dhambi hii inaanzia moyoni mwa mtu.kama mtu hana adabu au tunasema discpline yeye kama yeye pasipo kumuogopa mtu hata umuwekee walinzi mia atafikiria tu namna ya kupata upenyo wa kudanganya.so men mjiheshimu tu na kuacha hizo tabia chafu
 
Kweli mwanamke mapambo...huo uso unauchovya kwenye unga? Nataka nimfundishe mama ngina home. Umenivutia sana

Mwambie anitafute kwa simu nitampa mafunzo bila shida..
 

SWEET GIRL. Tatizo na tabia hii haipo kwa wanaume tu. Kwani hata wanawake walio kwenye ndoa/mahusiano wanafanya udanganyifu sana.

Ni kweli inaweza ikawa vigumu kufanya,lakini naamini uwepo wa kipindi hicho utaleta uoga fulani kwa wanaojihusisha na kipindi hicho.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…