tunamuhitaji prof.anna tibaijuka awe rais wa tanzania 2015 kwa historia yake hii fupi

mwagavumbi 11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,254
Reaction score
44
niukweli usiopingika kwamba prif.anna tibaijuka ni mkweli mchapakazi asiyeyumbishwa msomi mpenda maendeleo mwenye hofu ya mungu anayejali masikini vilema albino watoto yatima mwe.ye kuguswa .a homa za watanzania na asnaemsikiliza kila mwananchi.
prof.anna tibaijuka kamalizia kero za wananchi kwa kuanza kubomoa mahekaru ya kifahari fukwe za baharini bila kujali uswahiba ili kuacha maeneo ya wazi yabaki kuwa ya wananchi .jambo hilo halijawahi tokea tanzania.
prof.tibaijuka ni mwanamke wa kwanza barani afrika kuchaguliwa na bara kuu la umoja wa mataifa .a kuiongoza moja ta taasisi zake duniani.
kiufupo watanzania tunamuitaji kiongozi kama huyo kuiongoza tanzania ili tuondokane na umasikini.
nawasilisha ndg.zanguyi
 
Mimi sijuhi vizuri alichofanya huyu mwanamama ....huu ni uwanja mzuri kuainisha mazuri yake,sio kwa mimi tuu ila kwa wanajukwaa kwa ujumla.Na jinsi mambo yanavyokwenda wana jukwaa wataongea na familia na marafiki ....

Nimesikia negativity alipokuwa UN ,unaweza sema alifanya nini kizuri alibadili nini..alikuwa kule mwaka gani mpaka gani tu verify na sisi online accomplishment zake huko utazozisema.

Kuhusu wizara anayoongoza ame accomplish nini so far?

Ukiweza sema haya itakuwa rahisi watu kujua kuwa anatufaa kwa nafasi kubwa zaidi ama la!!!

Please stage is yours
 
Sijaona la maana alilofanya mpaka sasa la kumfanya tuanze kumnadi kuwa rais wetu.
 
Profesa Tibaijuka, Profesa Kapuya. Profesa Maghenbe ni bure kabisa hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom