Wakati tukiendelea kuwalaumu madaktari kwamba mgomo wao unawaathiri wagonjwa wasio hatia, tunasahau WALIMU wetu nao wana malimbikizo ya madai ya muda mrefu ambayo hayajapatiwa ufumbuzi, na wangekuwa hawajalala wangeshagoma.
Kama kawaida yao waTZ wanasubiri walimu wagome halafu utasikia 'walimu wawe na moyo wa huruma, watoto wetu hawana hatia, ualimu ni wito, tutumie meza ya mazungumzo, amri ya mahakama, n.k.'