Umeyaona?? Haya mimi ninazo tani 100 meusi tii na tani 80 za pumba ya biscuits.Ya Iringa mengi yanakuwa na weupe, sisi tunataka yale meusi tiii
Zipo kilo 260 usafiri unajitegemea....Samahani, nimekosea kuongea kabla sijayaona.
Hizo tani 100 unauza?