Tunanunua vanilla kiasi chochote kilo 1 sh 100,000 hadi sh 300,000 kutegemea na grade mahali popote

antanarivo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2018
Posts
450
Reaction score
883
Kama heading inavosema hapo juu wakuu Nina mtu anahitaji vanilla kiasi chochote na kwa bei tajwa hapo juu,

Mawasiliano piga 0746021481

Hata Leo uwezekano ukiwepo tunaanza safari ya Kuja kucheki mzigo.
 
Kama heading inavosema hapo juu wakuu Nina mtu anahitaji vanilla kiasi chochote na Kwa bei tajwa hapo juu,

Mawasiliano piga 0746021481

Hata Leo uwezekano ukiwepo tunaanza safari ya Kuja kucheki mzigo
Mambo ya mkojo wa sungura hayo..
 
Ukiona zao lolote linatafutwa na beiya kg 1 ni zaidi ya shs 15k, hapo biashara hamna. Kwa siku za karibuni nimeanza kusikia sikia hii habari ya vanilla.

Hiii biashara mtu atakaye ishobokea lazima apigwe. Kazi njema
 
Kweli mpaka ifike kilo inakuwa nyingi sana
 
laki mpaka laki tatu kutegemea na ilivyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kama heading inavosema hapo juu wakuu Nina mtu anahitaji vanilla kiasi chochote na kwa bei tajwa hapo juu,

Mawasiliano piga 0746021481

Hata Leo uwezekano ukiwepo tunaanza safari ya Kuja kucheki mzigo.
kavu au mbichi?
 
ipo ya kutosha ila kilo si milioni moja sasa lako moja kivipi
 
Tufanye mkataba nikulimie kiasi unachotaka.
Njoo niweke nyumba yangu dhamana ili unidhamini
1. Mbegu
2. Pembejeo
3. Bei kwa kilo

Hautajuta
 
Mbona huwa naona watu wanaweka Vanilla kwenye juice, cake, vyakula n.k.

Na vile vichupa wanavyotumia huwa ni bei cheee tu, sasa hiyo Vanilla mnayosema ni laki mpaka mpaka laki 3 ni ipi wakuu...? Au mi ndio sielewi...?
 
Utaelewa tu pale utakapoanza kuvuna sababu utalia kama mtoto mdogo
 
Back
Top Bottom