antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
Mambo ya mkojo wa sungura hayo..Kama heading inavosema hapo juu wakuu Nina mtu anahitaji vanilla kiasi chochote na Kwa bei tajwa hapo juu,
Mawasiliano piga 0746021481
Hata Leo uwezekano ukiwepo tunaanza safari ya Kuja kucheki mzigo
Kweli mpaka ifike kilo inakuwa nyingi sanaUkiona zao lolote linatafutwa na beiya kg 1 ni zaidi ya shs 15k, hapo biashara hamna. Kwa siku za karibuni nimeanza kusikia sikia hii habari ya vanilla.
Hiii biashara mtu atakaye ishobokea lazima apigwe. Kazi njema
Mpaka uje kuvuna watakuwa hawapo😂Ngoja nikalime sasa
kavu au mbichi?Kama heading inavosema hapo juu wakuu Nina mtu anahitaji vanilla kiasi chochote na kwa bei tajwa hapo juu,
Mawasiliano piga 0746021481
Hata Leo uwezekano ukiwepo tunaanza safari ya Kuja kucheki mzigo.
Na Nyama ya Sungura..Vipi mayayi ya kware hauchukui boss
hahahahaSio 1,000,000 tena
Utaelewa tu pale utakapoanza kuvuna sababu utalia kama mtoto mdogoMbona huwa naona watu wanaweka Vanilla kwenye juice, cake, vyakula n.k.
Na vile vichupa wanavyotumia huwa ni bei cheee tu, sasa hiyo Vanilla mnayosema ni laki mpaka mpaka laki 3 ni ipi wakuu...? Au mi ndio sielewi...?