Tunanunua Vanilla

Tunanunua Vanilla

Mtalebani Mweupe

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2020
Posts
547
Reaction score
632
Habari Wakuu!!!!

Tunahutaji wakulima wanaouza zao la Vanilla.

Tunahitaji ziwe zimekaushwa.

Ziwe Grade One kuanzia sentimita 13 na kuendelea.

Kama Una Grade nyengine njoo na bei tutalinganisha.

Serious farmers Tu wani DM ASAP.
 
Ah wapi huna milioni milioni za kuwapa wakulima kwa kila kilo 😂😂😂
 
Back
Top Bottom