Mtalebani Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 12, 2020
- 547
- 632
Plan ni kwenda huko, ila Kwa sasa nahitaji hizo details ili nijipange maana Nina wanunuzi tayari.Nenda Kagera huko wakulima wa Vanila wanalalamika kwa kukosa soko
ππππ Mi sina kwakweliAh wapi huna milioni milioni za kuwapa wakulima kwa kila kilo πππ