marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Habari za saa hizi wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada,mm nimeathirika na uraibu(addiction) wa kucheza mashine ya kamari (bonanza au dubwi), hasara ninayopata ni kubwa sana. Nimefeli malengo mengi. Sasa leo hii tarehe 16/6/2021, ninaacha rasmi, najua ni vigumu lakini inawezekana.
Naomba kama kuna yeyote kama mimi mwenye nia ya dhati ya kuacha kucheza bonanza tukutane hapa katika uzi huu.
Safari inaanza, DAY 1.
Karibuni