marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
aminaMungu akuongoze, pamoja na kuingoza nafsi yangu.
huko nako sio kwepesiKaribu tubet leo mpe Netherlands
imani yako tu hiyo kakaUkitaka kuacha kitu acha kimya kimya usimuadithie mtu
Njoo nauza odds..hahahah just jokeshuko nako sio kwepesi
Unacheza hiyo mashine za wachina wanazoweka mitaani? Mimi kwa Tanzania kwenye mambo ya michezo ya kubahatisha naamini hii michezo yenye matokeo halisi eg kubeti kwenye mpira nk. Haya mambo ya mashine au bahati nasibu za kubahatisha namba sina imani nazo kabisa kabisa. Nchi yetu ina fiksi nyingi sana.huko nako sio kwepesi
Mwaga ujuzi rastaUnaachaje hela ww ..njooo nkufundshe namna ya kumla dubu had anaishiwa wezio huku wamenunua had vitara ya million 3 kisa dubu
Daahh haya makitu nahisi yana uchawi ndani yake, maana kila nikiacha ninarudi tena. Tupeane uzoefu umetumia njia gani kuachaDay 2,safari inaendelea
tuanze safari kaka,mm siku ya pili leo,cha kwanza ni kuamini ukweli ya kwamba dubwi halina faida kwa mchezaji bali kwa mmiliki.kama hauamini jumlisha hela unazoliwa linganisha na unazokula.pili kuamua kwa dhati kuacha.tatu kaa mbali na vichocheo,nne tafuta vitu vingine vya kufanya.anza sasaDaahh haya makitu nahisi yana uchawi ndani yake, maana kila nikiacha ninarudi tena. Tupeane uzoefu umetumia njia gani kuacha
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app