Kwa siku hizi 142 naona Uchangamfu na nguvu ya mwili imeongezeka, uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu tofauti na mwanzo, siwi mchovu , napenda mazoezi, hali ya kujiamini imeongezeka, uwezo wa kudhibiti matamanio umeongezekaSo how do u feel???
na kula mbususu je?Nimefikisha Siku ya 142 = Miezi 4 na siku 22 bila kujigusa wala kuangalia picha chafu.
Mapambano yanaendelea.
View attachment 3412492
Facts,Sijajua Kama wewe ni muha, ila kwa mtazamo wangu una ka asili ka kubishana mkuu.
semen retention Ina faida kubwa sana, kuanzia kuboresha afya ya Mwili, akili na roho yako.
Kukuepusha na magonjwa ya kimwili Kama gono, hiv, kuupa pumziko mwili ili ufanye recover.
ngono si kimwili bali na kiroho pia, so kuto kuunganisha mwili hovyo hovyo ni zawadi tosha Sana.
Without sex right?Nimefikisha siku 161View attachment 3435586
Hongera mzee, nami niko humo ila sitaki kuangalia nime fikisha siku ngapi.Nimefikisha siku 181 sawa na miezi 6 bila mchezo mchafuView attachment 3456088
Safi mkuu mabadiliko niliyo nayo sahivi ni makubwa sana, kujiamini kumeongezeka, na ubongo una nasa vitu siyo mchezo sipotezi kumbukumbu kirahisiHongera mzee, nami niko humo ila sitaki kuangalia nime fikisha siku ngapi.
No porn, no sex, no masterbation.
Utulivu, kujiamini, uwezo wa kuchanganua mambo. + Kula vizuri, matunda, mazoezi niko gado.Safi mkuu mabadiliko niliyo nayo sahivi ni makubwa sana, kujiamini kumeongezeka, na ubongo una nasa vitu siyo mchezo sipotezi kumbukumbu kirahisi