Tunaoanza NoFAP challenge leo tukutane hapa

Kuna haja Gani yakua wakiume hapo,
Sijajua Kama wewe ni muha, ila kwa mtazamo wangu una ka asili ka kubishana mkuu.

semen retention Ina faida kubwa sana, kuanzia kuboresha afya ya Mwili, akili na roho yako.

Kukuepusha na magonjwa ya kimwili Kama gono, hiv, kuupa pumziko mwili ili ufanye recover.

ngono si kimwili bali na kiroho pia, so kuto kuunganisha mwili hovyo hovyo ni zawadi tosha Sana.
 
Sana ana kauchizi ndani yake, sidhani kama kuna movie yake ambayo sijaitazama. Ukitaka kumuenjoy angalia zile za porini
Jama sidhani kama Kuna drama yeyote amewahi kuwa seriaz mwanzo mwisho bila kauchizi kake.

Za Porini zake nimecheki , Deep rooted tree , Slave Hunter na Shine or Go Crazy sasa nipo na My County.

Kuna nyingine Kali ambayo sijaicheki unayoijua ?
 
Acha mbwembwe oa kijana
 
Tafuta nyingine inaitwa swordsman
 
Duh mbona mm tangu nazaliwa sijawahi sex na nna miaka 36 sasa, mana namtunzia mke wangu mtarajiwa 😎
 
Kinakuchekesha nini sasa? Unataka tu tushindwe ili uendelee kutucheka. Safari hii tumedhamiria na hatushindwi hata mbususu imeng'enyuliwe kama kurasa za kitabu laivu mbele yetu wala hatutishiki πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…